INEC YAZITAKA ASASI ZA KIRAIA KUTOA MAWAZO YATAKAYOEPUSHA DOSARI KWENYE UCHAGUZI

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka wawakilishi wa taasisi na asasi za kiraia   kuhakikisha  wanatoa mawazo ambayo yatasaidia kuepusha dosari ambazo zinaweza kujitokeza na kuathiri utekelezaji wa shughuli za uchaguzi. Akizungumza leo Julai 30, 2025 wakati wa kufungua kikao cha wadau hao,Mwenyekiti  wa INEC Jaji wa Rufani…

Read More

TUNAWEZA KUZUIA ASILIMIA 80 YA VIFO NCHINI TUKIBADILI MTINDO WA MAISHA-DKT.BITEKO

Na Mwandishi Wetu ,Dodoma NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa asilimia 80 ya vifo nchini vinaweza kuzuilika endapo Watanzania wataamua kubadili mtindo wa maisha ikiwemo kuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi ya mara kwa mara. Amesema hayo tarehe 27 Julai, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Waziri Mkuu, Mhe….

Read More

MAGESE:UREMBO SIO UHUNI

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam  MKURUGENZI wa Kampuni ya MILLEN ,Millen Happiness Magese ameishauri jamii kuachana na fikra potofu kwamba urembo ni uhuni kwakuwa majukwaa hayo yanahamasisha wanawake kujitambua na kujiamini. Millen ambaye ndiye muandaaji wa shindano la Miss Universe kwa upande wa Tanzania alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na wa…

Read More

KATIBU MKUU KIONGOZI KUFUNGUA MAFUNZO KWA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KATIBU Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dk. Moses Kusiluka anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo ya siku nne kwa watendaji wakuu wa taasisi, mashirika ya umma na wakala wa serikali. Mafunzo hayo yatakayofanyika kuanzia Julai 28-31, 2025 katika shule ya uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha, mkoani Pwani, yanaratibiwa na…

Read More

MAHAKAMA KUU DIVISHENI YA BIASHARA,NGUZO YA HAKI,UKUZAJI UCHUMI WA TAIFA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma KATIKA mazingira ya sasa ya kiuchumi yanayoendelea kubadilika kwa kasi, upatikanaji wa haki kwa haraka, haki na usawa ni msingi muhimu kwa ukuaji wa uchumi na ustawi wa Taifa. Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia Divisheni ya Biashara, imekuwa chombo mahsusi kilichoanzishwa kwa lengo la kutoa majibu ya haraka na yenye tija katika migogoro ya…

Read More