
PINDA:VIJANA JIUNGENI NA VYUO VYA UJUZI
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda amewataka Vijana kutumia fursa ya mageuzi ya elimu Nchini kwa kujiunga vyuo stahiki vya Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) vinavyotoa elimu ya ujuzi na ufundi ili kuwasaidia kujiinua kiuchumi. Akizungumza jana alipohudhuria mjadala wa wadau wa Veta Ikiwa ni siku ya tatu ya maadhimisho ya…