PROFESA MBARAWA AITAKA BODI YA ATCL KUSIMAMIA SHIRIKA LIJIENDESHE KWA WELEDI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Sala WAZIRI wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa ameiagiza bodi mpya ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kulisimamia shirika hilo lijiendeshe kwa weledi na liweze kutoa huduma bora. Mbarawa ameyasema hayo baada ya kuzindua bodi mpya ya ATCL ambapo Mwenyekiti Mweyekiti wake ni Prof. Neema Mori. “Mbarawa amasema kuwa pamoja na mafanikio…

