Skip to content
January 11, 2026
  • DCEA:WANAOVUTA DAWA WAMEHAMIA KWENYE POMBE KALI
  • MRADI WA UMEME JUA KISHAPU UKO MBIONI KUKAMILIKA- MHE SALOME MAKAMBA
  • DAWA MPYA ZA KULEVYA 1400 ZATENGENEZWA DUNIANI KUKWEPA MKONO WA SHERIA
  • WATU ZAIDI 1000 WAMETIWA HATIANI KWA MAKOSA YA DAWA ZA KULEVYA MWAKA 2025
Taifa Tanzania

Taifa Tanzania

Gazeti lako la kila siku

  • NYUMBANI
  • KITAIFA
    • BIASHARA
    • SIASA
    • UCHUMI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • GAZETI TAIFA TANZANIA
  • MAWASILIANO
  • Biashara
  • Burudani
  • Fashion
  • Gazeti Taifa
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi

Chief Editor

Saroj Mhr

Lorem ipsum is simply dummy text
  • NYUMBANI
  • KITAIFA
    • BIASHARA
    • SIASA
    • UCHUMI
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAGAZETI
  • MAKALA
  • GAZETI TAIFA TANZANIA
  • MAWASILIANO
Youtube Live
Hot News
  • DCEA:WANAOVUTA DAWA WAMEHAMIA KWENYE POMBE KALI

    1 day ago1 day ago
  • MRADI WA UMEME JUA KISHAPU UKO MBIONI KUKAMILIKA- MHE SALOME MAKAMBA

    1 day ago1 day ago
  • DAWA MPYA ZA KULEVYA 1400 ZATENGENEZWA DUNIANI KUKWEPA MKONO WA SHERIA

    2 days ago22 hours ago
  • WATU ZAIDI 1000 WAMETIWA HATIANI KWA MAKOSA YA DAWA ZA KULEVYA MWAKA 2025

    2 days ago1 day ago
  • UDOM, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, LSF WASHIRIKIANA KUIMARISHA HUDUMA ZA MSAADA WA KISHERIA

    3 days ago3 days ago
  • DCEA YAKAMATA ZA KULEVYA KWA MKENYA ALIYEKUWA AKIUZA CHAI 

    3 days ago3 days ago

Highlight News

Kitaifa
DCEA:WANAOVUTA DAWA WAMEHAMIA KWENYE POMBE KALI
Kitaifa
MRADI WA UMEME JUA KISHAPU UKO MBIONI KUKAMILIKA- MHE SALOME MAKAMBA
Kitaifa
DAWA MPYA ZA KULEVYA 1400 ZATENGENEZWA DUNIANI KUKWEPA MKONO WA SHERIA
Kitaifa
WATU ZAIDI 1000 WAMETIWA HATIANI KWA MAKOSA YA DAWA ZA KULEVYA MWAKA 2025
  • Makala

MIAKA MINNE YAKUTEKEZA MTANDAO WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI

taifatz10 months ago10 months ago08 mins

DCEA YAELEZA JINSI ILIVYOVUNJA MITANDAO MIKUBWA YA DAWA MITANO Na Aziza Masoud,Dar es Salaam SERIKALI ya Awamu ya sita imetimiza miaka minne madarakani tangu Rais Dk. Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani Machi 19 mwaka 2021 baada ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano Dk.John Magufuli. Tangu aliposhika wadhifa huo Dk.Samia amekuwa akifanya maboresho na…

Read More
  • Kitaifa

Hazina:Uchambuzi wa bajeti kuchochea ufanisi taasisi za umma

taifatz10 months ago10 months ago04 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam TIMU ya wataalamu 53 kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) itajifungia kwa wiki mbili, kuanzia Jumatatu (Leo), kufanya uchambuzi wa mipango na bajeti za taasisi na mashirika ya umma, kazi ambayo ni muhimu katika kuhakikisha usimamizi mzuri wa rasilimali za serikali. Mkurugenzi Msaidizi wa Usimamizi wa Mashirika yasiyo ya…

Read More
  • Kitaifa

BARAZA LA SABA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA NISHATI LAKUTANA DODOMA

taifatz10 months ago10 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu, Dodoma NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu leo Machi 22, 2025 amefungua Baraza la saba la Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati ambalo limepitia pamoja na mambo mengine Rasimu ya bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 na kupitia hoja mbalimbali zilizowasilishwa na TUGHE. Akifungua baraza hilo Dkt. Kazungu…

Read More
  • Kitaifa

BENKI YA EQUITY YAFUTURISHA WATEJA,WADAU MJI MKONGWE ZANZIBAR

taifatz10 months ago10 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu,Zanzibar BENKI ya Equity siku ya jana iliandaa tukio la kipekee la Iftar, likiwa na lengo la kuleta pamoja wadau muhimu, wakiwemo viongozi, wateja, na wadau mbalimbali, ili kusherehekea kwa pamoja katika mwezi huu wa Ramadhani. Iftar hiyo ilifanyika katika hotel ya Madinat Al Bahr. Katika hotuba yake,Mkuu wa Kitengo cha Malipo kwa…

Read More
  • Kitaifa

KIHENZILE AWAPONGEZA WAFANYAKAZI WIZARA YA UCHUKUZI UTEKELEZAJI MIRADI

taifatz10 months ago10 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu, Dodoma  Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amewapongeza wafanyakazi wa Wizara ya Uchukuzi pamoja na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kwa kufanya vizuri katika kufanikisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ambayo ni mikubwa na ya kimkakati. Kihenzile ameyasema hayo leo Machi 21 2025 wakati wa kufungua mkutano wa baraza la wafanyakazi wa…

Read More
  • Kitaifa

WIZARA YA NISHATI YATAJA MAFANIKIO UTEKELEZAJI MAJUKUMU 2024/2025

taifatz10 months ago10 months ago03 mins

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametaja mafanikio yaliyopatikana katika Wizara kwa mwaka 2024/2025 mojawapo ikiwa ni kuimarika kwa uzalishaji wa umeme. Akiwasilisha mafanikio hayo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Njshati na Madini, leo Machi 21 jijini…

Read More
  • Kitaifa

ETDCO WAKAMILISHA MRADI WA KILOVOLTI 132 TABORA URAMBO

taifatz10 months ago10 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu,Tabora KAMPUNI ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme ( ETDCO) imefanikiwa kuwasha rasmi laini ya msongo wa Kilovolti 132 yenye mrefu wa kilomita 115 kutoka Tabora hadi Urambo ambao unakwenda kuwasaidiawananchi wa Urambo na Kaliua kupata umeme wa uhakika nakuchochea maendeleo. Akizungumza leo Machi 20, 2025 Mkoani…

Read More
  • Kitaifa

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAPONGEZA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA NISHATI MTUMBA

taifatz10 months ago10 months ago02 mins

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. David Mathayo amesema hayo tarehe 20 Machi 2025, wakati wa ziara ya kukagua…

Read More
  • Kitaifa

GAWIO KUTOKA KAMPUNI AMBAZO SERIKALI INA HISA CHACHE ZAPAA KWA ASILIMIA 236

taifatz10 months ago10 months ago03 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Dar es Salaam. Gawio kwa Serikali kutoka kampuni ambazo ina umiliki wa hisa chache limeongezeka kwa asilimia 236 katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Katika mwaka ulioishia Juni 2024, Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina ilipokea kiasi cha Sh195 bilioni kama gawio, ikiwa ni ongezeko kutoka Sh58 bilioni miaka…

Read More
  • Makala

NI MIAKA MINNE YA NEEMA KWA MASHIRIKA YA UMMA

taifatz10 months ago10 months ago06 mins

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Dar es Salaam. Safari ya miaka minne ya uongozi wa Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imekuwa ya neema kubwa kwa taasisi za umma na hata kampuni ambazo serikali ina hisa chache. Ndoto ya Mhe. Dkt. Samia, tangu ashike hatamu mwezi Machi, 2021, imekuwa…

Read More
  • 1
  • …
  • 34
  • 35
  • 36
  • 37
  • 38
  • …
  • 45

Habari Zote Mpya

  • DCEA:WANAOVUTA DAWA WAMEHAMIA KWENYE POMBE KALI
  • MRADI WA UMEME JUA KISHAPU UKO MBIONI KUKAMILIKA- MHE SALOME MAKAMBA
  • DAWA MPYA ZA KULEVYA 1400 ZATENGENEZWA DUNIANI KUKWEPA MKONO WA SHERIA
  • WATU ZAIDI 1000 WAMETIWA HATIANI KWA MAKOSA YA DAWA ZA KULEVYA MWAKA 2025
  • UDOM, WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, LSF WASHIRIKIANA KUIMARISHA HUDUMA ZA MSAADA WA KISHERIA
  • DCEA YAKAMATA ZA KULEVYA KWA MKENYA ALIYEKUWA AKIUZA CHAI 
  • BASI LA KING MASAI TOWERS LAKAMATWA LIKISAFIRISHA SKANKA
  • COPRA YAGAWA MBEGU ZA MBAAZI KWA WAKULIMA DODOMA
  • SERIKALI YAPANUA USHIRIKI WA WATANZANIA SEKTA YA MADINI
  • TANZANIA NA UGANDA ZAWEKA HISTORIA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI AFRIKA MASHARIKI (EACOP)

Habari Zote

  • Biashara
  • Burudani
  • Fashion
  • Gazeti Taifa
  • Kimataifa
  • Kitaifa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Siasa
  • Uchumi
© 2024 Taifa Tanzania. All rights reserved. Powered By BlazeThemes.