
TAWA YASAINI MIKATABA YA UWEKEZAJI MAHIRI YENYE THAMANI YA TZS BILIONI 719
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam KATIKA hatua ya kihistoria na kishindo kwa sekta ya utalii nchini, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), leo Agosti 12, 2025, imesaini mikataba minne ya uwekezaji wa utalii kupitia utaratibu wa Uwekezaji Mahiri (SWICA) na kampuni ya kitanzania ya Uhusiano International…