TAJU YASISITIZA AMANI SIKU YA UCHAGUZI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam TAASISI ya Tanzania Jumuishi (TAJU) imewataka viongozi na wasimamizi wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 kusimamia zoezi hilo kwa weledi ili kila mshiriki aridhike na mchakato huo na matokeo kwa ujumla kuepuka vurugu. Akizungumza jijini Dar es Salaam lOktoba 25, 2025 katika kikao cha waru wenye ulemavu ukilichoratobiwa na TAJU,Katibu…

