INEC YAKANUSHA TAARIFA YA MIFUMO YAKE KUUNGANISHWA NA CHAMA CHA SIASA
Na Mwandishi Wetu,Dodoma TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetoa taarifa kwa umma kufuatia uvumi unaosambaa mitandaoni ukidai kwamba mfumo wa uchaguzi nchini umeunganishwa na mifumo mingine ikiwemo wa NIDA na chama kimoja cha siasa, na kwamba zoezi la kupiga kura tayari limekamilika. Taarifa ya INEC imetolewa siku moja baada ya aliyekuwa Balozi wa…

