SERIKALI IMEWEKA MIKAKATI DHABITI YA KUKABILIANA NA MAJANGA NCHINI-MAJALIWA
Na Mwandishi Wetu,Mbeya WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha ustahimilivu wa Taifa dhidi ya majanga, kupitia utekelezaji wa sera, sheria, mikakati na miradi mbalimbali Amesema kuwa hatua hiyo itasaidia kuendelea katika kujenga ustahimilivu wa jamii dhidi ya maafa, tutaokoa maisha, mali, na rasilimali za taifa letu. Amesema hayo…

