WANANCHI WAKARIBISHWA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NANENANE DODOMA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma WIZARA ya Nishati imeendelea kukaribisha wananchi kutembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima (NANENANE) yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma. Fredrick Marwa, Mjiolojia kutoka Wizara ya Nishati amesema katika maonesho hayo Wizara inaeleza kuhusu kazi mbalimbal zinaoendelea kufanyika ikiwemo za utafutaji na uchimbaji wa mafuta na…

Read More

UWEKEZAJI WA DK.SAMIA KWENYE MIUNDOMBINU WAIPA UWEZO NA UBORA TMA KUTABIRI

Na Asha Mwakyonde, DODOMA KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),Dk. Ladislaus Chang’a ameeleza kuwa ubora wa taarifa zao umeendelea kuongezeka na kuimarika kwa sababu ya uwekezaji mkubwa ambao unafanywa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha miundombinu ya uangazi na ya utoaji wa…

Read More