WAKURUGENZI OFISI YA MSAJILI WA HAZINA WAPIGWA MSASA KWA SIKU TANO

Na Mwandishi Wetu,Pwani Kibaha. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania (IoDT) imeendesha mafunzo maalum ya uongozi na usimamizi kwa Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi hiyo, yakilenga kuimarisha uwezo wa menejimenti katika kusimamia rasilimali za umma kwa weledi, uwajibikaji na kwa maslahi mapana ya taifa. Mafunzo hayo ya…

Read More

RAIS DK.SAMIA KUFUNGUA SOKO LA KARIAKOO

Na Aziza Masoud,Dar es salaam RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara mkoani Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine atafungua soko kuu la Kimataifa la Kariakoo ambalo ujenzi wake umekamilika mwishoni mwa mwaka jana. Kufuatia ufunguzi huo wafanyabiashara wa biashara ndogondogo  waliopo katika soko hilo ambao wamefunga njia zakuingilia  kwenye  soko wametakiwa kuondoka…

Read More