PROFESA MBARAWA:UJENZI WA ENEO LAKUHIFADHIA KONTENA UTAONGEZA UFANISI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAZIRI wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema kukamilika kwa ujenzi wa eneo la kuhifadhi kontena lenye sqm 200000 kutaongeza ufanisi kutoka kupokea kontena 8000 hadi 13,000 kwa mwaka. Akizungumza Januari 9 , 2026 katika eneo hilo   lililopo Kurasini ambapo amefanya ziara yakuangalia utendaji kazi wa bandari Profesa Mbarawa alisema ujenzi…

Read More