DKT. MWIGULU ATAKA USHIRIKIANO WA KIKANDA KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA SARATANI

 Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Afrika haiwezi kushinda vita dhidi ya saratani ikiwa kila nchi itafanya kazi peke yake.  Amesema kuwa ili kufikia malengo ya mapambano dhidi ya saratani, kunahitajika kuwepo kwa ushirikiano wa kikanda na wa bara zima katika utafiti, mafunzo, kubadilishana wataalamu na kubadilishana rasilimali, teknolojia…

Read More

NI ZAMU YA WANAHABARI KUIKOA AFRIKA ATHARI ZA MAZINGIRA

Na Hafidh Kido,Dar es Salaam WAKATI nchi za Afrika zikiendelea kuwa mwathirika mkubwa wa athari za mabadiliko ya Tabianchi, wadau wa mazingira wameona haja ya kuhusisha wanahabari katika mapambano hayo. Katika mafunzo yaliyotolewa jana kwa njia ya mtandao na Media for Environment, Science, Health and Agriculture (MESHA) kupitia programu ya Cross Boarder Science CafĂ© imewazindua…

Read More