TUTAJENGA VITUO VYA KUPOKEA NA KUPOZA UMEME KILA WILAYA: WAZIRI NDEJEMBI

Na Mwandishi Wetu,Tabora WAZiRI wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO) itahakikisha inajenga vituo vya kisasa vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme katika kila wilaya ili kuhakikisha umeme unaozalishwa unawafikia wananchi kwa uhakika na kuwawezesha kunufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii. Mhe. Ndejembi ameyasema hayo Februari 14,…

Read More

ITHIBATI YATAJWA KUIMARISHA UAMINIFU WA SEKTA YA HABARI NA UCHUMI WA VYOMBO VYA UTANGAZAJI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema utekelezaji wa mfumo wa ithibati kwa waandishi na watangazaji wa habari nchini ni hatua ya kimkakati ya kuimarisha uaminifu, weledi na ushindani wa sekta ya habari katika uchumi wa kisasa unaotegemea taarifa sahihi na zenye kuaminika. Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa…

Read More