SERIKALI YAZINDUA AWAMU YA KWANZA YA MRADI WA KUPELEKA NISHATI SAFI KWA TAASISI ZINAZOHUDUMIA WATU ZAIDI YA 100

Unahusisha Shule za Sekondari 52 na Chuo kimoja cha VETA Ni sehemu ya mradi wa Shilingi bilioni 25.8 wa kupeleka nishati safi ya kupikia kwa taasisi 453 Na Mwandishi Wetu,Dodoma NAIBU Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amezindua awamu ya kwanza ya mradi wa kusambaza nishati safi ya kupikia katika taasisi zinazohudumia watu zaidi ya…

Read More

DCEA YAKAMATA KILOGRAMU 299.8 ZA MIRUNGI

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama hususan Jeshi la Polisi, kuanzia Februari  10 hadi 16,  2026, imefanya operesheni maalum katika vijiji vya Marieni na Mhero vilivyopo kata ya Chome, wilaya ya Same, Kilimanjaro na kukamata kilogramu 299.8 . Akizungumza…

Read More