MRADI WA KUFUNGA MIFUMO YA UMEME JUA MAENEO YA VISIWANI KWA BEI YA RUZUKU WAZINDULIWA
Na Mwandishi Wetu,Mwanza NAIBU Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amezindua mradi wa kusambaza mifumo ya umeme jua visiwani unaolenga kuweka mifumo 20,000 ya umeme jua katika visiwa 120 kwa gharama ya Shilingi Bilioni 8 ambapo Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan ameweka ruzuku hadi ya asilimia 75 katika gharama za uunganishaji umeme. Mhe. Salome Makamba amezindua…

