BANDARI YA MUSOMA KUFANYIWA UKARABATI

Na Mwandishi Wetu,Musoma WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, tarehe 23 Februari, 2026 katika Ziara yake ya Kanda ya Ziwa ametembelea Bandari ya Musoma,na kusisitiza kuwa Serikali inakwenda kuikarabati ili kuendelea kufungua fursa za kiuchumi Mkoa wa Mara Amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na ukarabati…

Read More