MUSOMA KUNUFAIKA NA MRADI WA KISASA WA UWANJA WA NDEGE
Na Mwandishi Wetu,Musoma WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, leo tarehe 23 Februari, 2026 amefanya ziara ya kikazi kukagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi na Uboreshaji wa Uwanja wa Ndege wa Musoma na kuagiza kuongeza kasi ya utekelezaji huku akisisitiza kuzingatiwa kwa viwango vya kitaifa na kimataifa vya usalama wa anga. Akizungumza baada ya kupokea…

