DKT.MWIGULU NCHEMBA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA KUPOZA UMEME-MKATA
Na Mwandishi Wetu,Tanga WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amekagua na kuweka jiwe la msingi la Mradi wa Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha kilovolti 132/33 katika eneo la Mkata, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Mradi huo uliogharimu Shilingi bilioni 44 unahusisha ujenzi wa vituo viwili vya kusambaza umeme pamoja na…

