MCHUNGAJI KIMARO:SERIKALI HAIWEZI KUAJIRI WATU WOTE

Na Mwandishi Wetu,Pwani MCHUNGAJI wa Kanisa la Kiinjiri Kilutheri Tanzania (KKKT)  Usharika wa Kijitonyama Dk. Eliona  Kimaro amesema serikali yoyote duniani haiwezi kuajira  wahitimu wote katika nchi husika lazima kuwe na miradi ya familia ambayo itaweza kuwasaidia vijana  kujiajiri na kuajiri. Kauli hiyo ameitoa leo   Machi, 7 2026 mkoani Pwani n wakati wa mahafali ya…

Read Full News