UJENZI KITUO CHA KUSUKUMA MAJI GOLANI WAFIKIA ASILIMIA 80, WAONGEZA KICHEKO GOLANI, SARANGA NA UKOMBOZI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAKAZI wa Mtaa wa Golani, Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo wafurahishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo cha kusukuma maji (booster pump) katika eneo hilo uliofika asilimia 80 za ukamilishwaji wake na unaotajwa kwenda kihudumia wakazi takriban 5,000 wa eneo la Golani, Ukombozi pamoja na…

Read More