TTB:UTALII WA MICHEZO NI NGUZO YA KUONGEZA MAPATO
Na Mwamdishi Wetu,Njombe BODI ya Utalii Tanzania (TTB), imesema utalii wa michezo umeendelea kuwa nguzo muhimu ya kuongeza mapato kwa jamii zinazozunguka Hifadhi za Taifa, huku wananchi wa maeneo hayo wakinufaika kupitia fursa mbalimbali za kiuchumi zinazotokana na ongezeko la wageni. Hayo yameelezwa Mei 2, 2026 wakati wa mbio za Kitulo Garden Marathon mkoani Njombe,…

