SEKTA YA ELIMU YAFUNGUA PAZIA LA BAJETI MPYA 2026/2027, MACHO YOTE KUELEKEZWA BUNGENI KESHO
Na Mwamdishi Wetu,Dodoma BAADA ya kuidhinishiwa jumla ya Sh trilioni 2.44 katika mwaka wa fedha 2025/2026, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza rasmi mchakato wa kuwasilisha bajeti yake mpya kwa mwaka 2026/2027, huku wadau na wananchi wakisubiri kwa hamu mwelekeo na vipaumbele vipya vitakavyochochea maendeleo ya sekta hiyo muhimu nchini. Leo Mei 06, 2026,…

