MSIGWA:BWAWA LA KIDUNDA NI MRADI WAKIMKAKATI KWA MAJI KILIMO NA NISHATI

‎Na Mwandishi Wetu,Morogoro MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi madhubuti wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda, akieleza kuwa mradi huo ni miongoni mwa miradi mikubwa ya kimkakati Nchini inayotarajiwa kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya maji, kilimo, nishati na uhifadhi wa mazingira nchini.‎‎Msigwa, ambaye pia ni Katibu…

Read More