DAWASA, MADIWANI UBUNGO ZIARANI KUTAFUTA SULUHU YA MAJI
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe Albert Msando, ameongoza ziara maalum ya viongozi wa Manispaa ya Ubungo katika chanzo cha uzalishaji maji Ruvu Juu kwa lengo la kujionea hali ya uzalishaji na usambazaji wa maji pamoja na kutafuta suluhu ya pamoja ya changamoto za huduma ya Maji. Ziara hiyo imewahusisha…

