WAZAZI WASHIRIKIANE NA WALIMU KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

Na Mwandishi Wetu,Dar es SalaamMZAZI anapomkabidhi mtoto kwa mwalimu anakuwa na matumaini ya kurudishiwa akiwa salama, akiwa na maarifa na tabia njema zaidi ya alivyomuacha asubuhi. Hata hivyo, nyuma ya sare za shule na tabasamu zao, baadhi ya wanafunzi hubeba majeraha ya kimwili na kihisia yanayosababishwa na vitendo vya ukatili wanavyokumbana navyo nyumbani, shuleni au…

Read Full News

DC MBARALI AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI KUHIFADHI MAZINGIRA YA MRADI WA TAZA

Lengo ni kuimarisha na kuhifadhi mazingira Maeneo yenye vyanzo vya maji vinavyochangia uzalishaji wa umeme kupewa kipaumbele Na Agnes Njaala, Itamboleo Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Brigedia Jenerali Maulid Surumbu, ameongoza zoezi la upandaji miti katika maeneo yaliyopitiwa na Mradi wa Kusafirisha Umeme wa Tanzania–Zambia (TAZA), ikiwa ni sehemu ya juhudi za kurejesha uoto wa…

Read Full News

WACHIMBAJI WATAKIWA KUZINGATIA MATUMIZI SALAMA YA KEMIKALI

Na Oscar Nkembo,TaboraMkuu wa Wilaya ya Nzega, Mhe. Naitapwaki Tukai, amewataka wachimbaji wa dhahabu kuzingatia usimamizi na matumizi salama ya Kemikali ili kuepukana na madhara ya kemikali yanayoweza kuathiri afya za wananchi na mazingira. Mkuu wa Wilaya, Tukai amesema hayo Juni 12, 2026 wakati akifungua mafunzo ya usimamizi na matumizi salama ya Kemikali kwa wachimbaji…

Read Full News

MHA. MRAMBA AKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KUHARAKISHA MIRADI YA JOTOARDHI NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Mwandishi Wetu,Canada, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mha. Felchesmi Mramba, amefanya mazungumzo na wadau mbalimbali wa sekta ya nishati kuhusu fursa za kuendeleza miradi ya jotoardhi na kuimarisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini Tanzania. Mazungumzo hayo yamefanyika pembeni mwa Mkutano wa Dunia wa Jotoardhi (World Geothermal…

Read Full News