BALOZI OMAR: MAPINDUZI YA VIWANDA NI MUHIMU KATIKA KUKUZA UCHUMI WA NCHI ZA AFRIKA

Na Benny Mwaipaja, Banjul, Gambia. Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa nchi za Afrika zinahitaji kuchukua hatua madhubiti za kisera na kikodi ili kuiwezesha sekta ya viwanda kuchangia ukuaji wa uchumi, kukuza ajira, kuimarisha uzalishaji na kupanua mauzo ya nje. Mhe. Balozi Omar amesema hayo aliposhiriki mjadala kuhusu nafasi ya…

Read Full News

COASCO YASISITIZA UKAGUZI WA VYAMA VYA USHIRIKA USHIRIKA 

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO), CPA Jeremiah Mgeta, amesema taasisi hiyo imejipanga kuhakikisha vyama vyote vya ushirika nchini vinakaguliwa katika mwaka wa fedha 2026/27 ili kuimarisha uwajibikaji, uwazi na kuongeza imani ya wanachama. CPA Mgeta alitoa kauli hiyo alipotembelea banda…

Read Full News

JINSI TTCL INAVYOCHANGIA UCHUMI WA KIDIGITALI KUPITIA INTANETI YA BEI RAHISI

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam SHIRIKA  ya Mawasiliano Tanzania (TTCL) imesema kupitia shughuli zake mbalimbali zikiwemo  intaneti  liimeendelea kutoa mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa kidijitali nchini. Akizungumza katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), Meneja wa Mahusiano wa TTCL,Ester Mbanguka  alisema shirika ambalo ni namna moja katika…

Read Full News