MFUMO MPYA WA BRELA WARAHISISHA USAJILI WA BIASHARA, HUDUMA ZAWAFIKIA WANANCHI NANENANE DODOMA

Na Mwandishi Wetu, DodomaWakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umesema maboresho ya mfumo wake wa usajili yameongeza ufanisi, uwazi na usalama wa huduma za urasimishaji wa biashara, huku wananchi wakipata fursa ya kujifunza na kupata huduma hizo moja kwa moja katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea viwanja vya Mzunguni, Dodoma. Akizungumza katika maonesho hayo,…

Read Full News

DK.MWIGULU AITAKA TADB KUPANUA WIGO WA MIKOPO YA WAKULIMA

Na Aziza Masoud, Dodoma WAZIRI Mkuu  Dk.Mwigulu Nchemba ameiagiza Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kupanua huduma za utoaji wa mikopo kwa lengo la kuwafikia wakulima, wafugaji na wavuvi wengi zaidi nchini ili kuweza kusaidia uwekezaji katika sekta ya uzalishaji na kuharakisha mageuzi. Dk.Mwigulu ametoa kauli hiyo jijini Dodoma  katika Maonesho ya Taifa ya…

Read Full News