TTCL: UHIFADHI WA TAARIFA NDANI YA NCHI UIMARISHA USALAMA KIDIGITALI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema kuhifadhi taarifa na mifumo ya taasisi ndani ya nchi kupitia Kituo cha Taifa cha Kuhifadhi Taarifa Kidijitali (National Internet Data Centre – NIDC) ni hatua muhimu ya kuimarisha usalama wa taarifa na kulinda uhuru wa kidijitali wa Tanzania. Akizungumza katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea jijini…

