TIRA YAWAHAMASISHA WAKULIMA KUKATA BIMA KUJIKINGA NA HASARA
Na Mwandishi Wetu, Dodoma MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imewahamasisha wakulima na wafugaji nchini kujiunga na bima ya kilimo ili kujikinga dhidi ya hasara zinazotokana na majanga mbalimbali yanayoathiri uzalishaji, ikieleza kuwa huduma hiyo ni moja ya njia muhimu za kuongeza uhakika wa uwekezaji katika sekta ya kilimo. Wito huo umetolewa leo Agosti…

