WAKULIMA WAKUMBUSHWA KUDAI FIDIA ZA BIMA KUPITIA MSULUHISHI BADALA YA MAHAKAMA
Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAKULIMA waliokata bima kupitia benki na mawakala wa bima wametakiwa kufahamu haki zao na kutumia Ofisi ya Msuluhishi wa Migogoro ya Bima (TIO) kudai fidia wanapokumbana na migogoro, badala ya kukimbilia mahakamani. Wito huo umetolewa na Msuluhishi Mkuu wa Migogoro ya Bima, Aloyce Mbunito, wakati wa Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika…

