GST:TAFITI ZA JIOSAYANSI NI NGUZO YA DIRA YA TAIFA NA UCHUMI ENDELEVU WA MADINI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma MWENYEKITI wa Bodi ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), Bi. Yokbeth Festo Myumbilwa, amesema tafiti za jiosayansi zinazofanywa na taasisi hiyo zina mchango mkubwa katika kuibua maeneo yenye rasilimali za madini, kuvutia uwekezaji na kuchochea ukuaji wa uchumi wa Taifa unaolengwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050….

Read Full News

PBPA:MFUMO WA UAGIZAJI MAFUTA PAMOJA UNAIMARISHA USALAMA WA NISHATI NA UCHUMI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma WAKALA wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) umesema umejizatiti kuhakikisha Tanzania inaendelea kuwa na upatikanaji wa uhakika wa mafuta wakati wote kupitia mfumo wa uagizaji wa pamoja, hatua inayochangia ukuaji wa uchumi na utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Akizungumza leo Agosti 7, 2026 katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea…

Read Full News

FURSA ZA BIASHARA ZA MABILIONI KATIKA MIGODI ZAWAFUNGUKIA WATANZANIA

Na Mwandishi Wetu,Dodoma SERIKALI kupitia Tume ya Madini imefungua fursa za biashara zenye thamani ya mabilioni ya fedha katika migodi kwa Watanzania, huku vijana na wanawake wakipewa kipaumbele ili kuongeza ushiriki wao katika Sekta ya Madini na kuchochea utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Hatua hiyo inalenga kujenga uchumi shindani na jumuishi unaowezesha…

Read Full News