TBA YAANZA SAFARI YA KUCHOCHEA UCHUMI KUPITIA MIRADI YA UWEKEZAJI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) umeweka mkakati wa kuchochea shughuli za kiuchumi nchini kwa kuwashirikisha wawekezaji katika ujenzi wa nyumba, majengo ya biashara, viwanda na miundombinu ya kuhifadhi na kuchakata mazao. Hatua hiyo inatajwa kuwa na uwezo wa kuongeza thamani ya mazao, kufungua masoko mapya kwa wakulima na wafugaji pamoja na…

