TANESCO YAELEZA MIKAKATI YAKE YA KUKABILIANA NA ATHARI ZINAZOWEZA KUJITOKEZA WAKATI WA MVUA ZA EL NINO

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limeeleza mikakati mbalimbali inayoendelea kutekelezwa kukabiliana na athari za mvua za El Nino zinazotarajiwa kuanza hivi karibuni, ikiwemo kuimarisha miundombinu ya umeme pamoja na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi salama ya umeme wakati wa mvua. TANESCO imeeleza kuwa hatua hizo zinalenga kuhakikisha huduma ya…

Read Full News

IDARA YA UTAFITI, MIPANGO NA UWEKEZAJI TANESCO WAASWA KUFANYA KAZI KWA UBUNIFU

📌 Wapongezwa kwa mafanikio ya miradi 📌Watumishi watakiwa kuongeza kasi, teknolojia na matumizi ya wataalamu wa ndani Na: Mwandishi Wetu, Mwanza SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limeitaka Idara ya Utafiti, Mipango na Uwekezaji (PRI) kuongeza kasi katika utekelezaji wa mipango na miradi ya kimkakati, likisisitiza matumizi ya teknolojia, wataalamu wa ndani na uzingatiaji wa muda…

Read Full News