FILAMU YA ‘THE RHINO OF NGORONGORO’ KUTOA ELIMU ZAIDI KUHUSU FARU

Na Mwandishi Wetu,Ngorongoro KATIKA kuadhimisha Siku ya Faru Duniani, inayoadhimishwa  Septemba 22  kila mwaka, Ngoteya Wild imezindua filamu ya “The Rhinos of Ngorongoro – A Conservation Story”, iliyoandaliwa kwa kushirikiana na Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA), ikiwa na lengo la kuangazia umuhimu wa uhifadhi wa faru na watu wanaofanya kazi kila siku kuhakikisha wanyama hao…

Read Full News