AWAMU YA PILI BIMA YA AFYA KUFUNGUA MILANGO KWA WOTE
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SERIKALI imesema awamu ya pili ya utekelezaji wa mpango wa bima ya afya itafungua fursa kwa Watanzania wote kujiunga, huku ikisisitiza kuwa utaratibu rasmi wa usajili utatangazwa hivi karibuni. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Emmanuel Tayari alipokuwa akizungumza wakati wa kuzindua huduma za kisaaa za…

