HOMERA ATANGAZA MAPINDUZI YA UMEME VITONGOJINI, AIPONGEZA REA KWA UTEKELEZAJI

📌 Ampongeza Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mha. Saidy, kwa usimamizi wa miradi ya umeme vijijini 📌Wakuu wa Mikoa kuendelea kuwasha umeme katika miradi iliyokamilika kwenye vitongoji mbalimbali nchini 📌 Mha. Saidy: Kasi ya utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini ni kubwa, REA haitarudi nyuma Na Mwandishi Wetu,Ruvuma Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Homera, amepongeza…

Read Full News