WAZIRI HOMERA AHIMIZA KASI YA UTEKELEZAJI WA MRADI UMEME SONGEA- TUNDURU NA TUNDURU- MASASI

📌Asema dhamira ya Serikali ni kuona wananchi wa kusini wananufaika na umeme wa uhakika 📌Atoa rai kwa TANESCO kumsimamia Mkandarasi kukamilisha mradi kwa wakati Na Mwandishi Wetu,Songea Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Homera, amemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 kutoka Songea hadi Tunduru, wenye urefu wa…

Read Full News