TANESCO YAELEZA CHANZO HITILAFU ILIYOPELEKEA CHANGAMOTO YA UPATIKANAJI WA UMEME MBAGALA, KIGAMBONI, MKURANGA NA KIBITI
📌 Ni kufuatia hitilafu katika njia ya kusafirisha umeme ya ardhini yenye msongo wa kV 132 eneo la Gongolamboto. 📌 yaeleza hatua za dharura zilizochukuliwa kuhakikisha huduma inaendelea kupatikana kwa wananchi huku wataalamu wakirekebisha hitilafu hiyo. Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaa. SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limefafanua chanzo cha changamoto ya upatikanaji wa umeme katika…

