UJENZI WA NJIA YA KUPELEKA UMEME KISIWANI MAFIA KUNUFAISHA WANANCHI MKURANGA

📌 Ni kupitia kupata umeme wa uhakika na ajira wakati wa utekelezaji wa mradi. 📌 Wananchi wapatiwa elimu namna ambavyo mradi utachochea shuhhuli za kiuchumi. Na Mwandishi Wetu,Mkuranga Wananchi wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani wanatarajiwa kunufaika na mradi mkubwa wa njia ya kusafirisha meme ya kilovoti 33 kupitia waya maalumu itakayopita chini ya bahari kutoka…

Read Full News