TAHLISO: YALIYOTOKEA YASIJIRUDIE TENA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amesema wanavyuo wa mkoa wa Dar es Salaam wanaunga mkono tamko ‘never again’ lililotolewa na vijana Mkoa wa Dodoma mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kiliba ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Mei 16, 2026 Jumamosi katika…

Read More

WENJE:VIJANA MNA WAJIBU KUILINDA TANZANIA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MWANASIASA na mbunge wa zamani wa Nyamagana mkoani Mwanza, Ezekia Wenje amesema vijana wana wajibu wa kulinda nchi bila kujali itikadi za vyama vya siasa. Amesema hayo leo , Jumamosi Mei 16,2026 katika kongamano la wanafunzi wa vyuo lenye kauli mbiu ‘never again’ tuipende, tuitunze , tuilinde nchi yetu’ lililofanyika…

Read More

TAFICO KUNUFAIKA NA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI, SERIKALI KUPANUA UCHUMI WA BULUU

Na Asha Mwakyonde, DODOMA SERIKALI imeendelea kufungua ukurasa mpya katika sekta ya uvuvi nchini baada ya kuongeza nguvu katika uvuvi wa bahari kuu kupitia uwekezaji mkubwa wa miundombinu, ununuzi wa meli za kisasa pamoja na kuimarisha Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO), hatua inayotarajiwa kuongeza ajira, mapato ya taifa na kunufaisha uchumi wa buluu. Hayo ameyasema…

Read More

DCEA YAKAMATA LITA 66,048 ZA KEMIKALI BASHIRIFU

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ((DCEA), imekamata lita 66,048 za kemikali bashirifu zilizokuwa zikiingizwa na kusafirishwa nchini kinyume  cha  sheria, katika operesheni maalum iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwezi Aprili mwaka huu. Akizungumza waandishi wa habari leo Mei 13, 2026   jijini Dar es Salaam, Kamishina Jenerali…

Read More

SEKTA YA ELIMU YAFUNGUA PAZIA LA BAJETI MPYA 2026/2027, MACHO YOTE KUELEKEZWA BUNGENI KESHO

Na Mwamdishi Wetu,Dodoma BAADA ya kuidhinishiwa jumla ya Sh trilioni 2.44 katika mwaka wa fedha 2025/2026, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza rasmi mchakato wa kuwasilisha bajeti yake mpya kwa mwaka 2026/2027, huku wadau na wananchi wakisubiri kwa hamu mwelekeo na vipaumbele vipya vitakavyochochea maendeleo ya sekta hiyo muhimu nchini. Leo Mei 06, 2026,…

Read More