DC MBARALI AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI KUHIFADHI MAZINGIRA YA MRADI WA TAZA

Lengo ni kuimarisha na kuhifadhi mazingira Maeneo yenye vyanzo vya maji vinavyochangia uzalishaji wa umeme kupewa kipaumbele Na Agnes Njaala, Itamboleo Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Brigedia Jenerali Maulid Surumbu, ameongoza zoezi la upandaji miti katika maeneo yaliyopitiwa na Mradi wa Kusafirisha Umeme wa Tanzania–Zambia (TAZA), ikiwa ni sehemu ya juhudi za kurejesha uoto wa…

Read More

MHA. MRAMBA AKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KUHARAKISHA MIRADI YA JOTOARDHI NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Mwandishi Wetu,Canada, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mha. Felchesmi Mramba, amefanya mazungumzo na wadau mbalimbali wa sekta ya nishati kuhusu fursa za kuendeleza miradi ya jotoardhi na kuimarisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini Tanzania. Mazungumzo hayo yamefanyika pembeni mwa Mkutano wa Dunia wa Jotoardhi (World Geothermal…

Read More

BAJETI KUU YA SERIKALI TRILIONI 62.33

Na Mwandishi Wetu, DODOMA Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka 2026/2027, ambapo amesema Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi trilioni 62.33, ikiwa ni ongezeko la asilimia 10.3 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2025/26. Mhe. Balozi Omar amesema kuwa,…

Read More

WAZIRI NDEJEMBI AZINDUA MKOPO WA MAJIKO YA UMEME, VITUO VYA KUCHAJIA MAGARI YA UMEME

📌Vituo 50 kujengwa nchini 📌Wateja milioni moja kunufaika na majiko ya umeme Na Mwandishi Wetu,Dodoma Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, leo Juni 11, 2026 jijini Dodoma amezindua rasmi mpango wa ukopeshaji wa majiko ya umeme kwa wateja wa TANESCO pamoja na mradi wa vituo vya kuchajia vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme, hatua inayolenga kuhamasisha…

Read More

SERIKALI KUPUNGUZA USHURU WA MAGARI YA UMEME KWA 15%, NA KUSAMEHE KODI VIFAA VYA KUCHAJI MAGARI

Na Mwandishi Wetu,Dodoma Serikali imependekeza kupunguza ushuru wa forodha kutoka asilimia 25 hadi asilimia 10 kwa baadhi ya magari yanayotumia umeme katika hatua inayolenga kuhamasisha matumizi ya nishati safi na mbadala nchini. Hatua hiyo imetangazwa leo Juni 11, 2026 bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, wakati akiwasilisha makadirio ya…

Read More

TANESCO YAFUNGUA UKURASA MPYA WA MATUMIZI YA UMEME NCHINI

📍Yazindua vituo vya kuchajia vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme 📍Wananchi kunufaika na mpango wa ukopeshaji wa majiko ya umeme kupitia LUKU Na Mwandishi Wetu, Dodoma Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua mradi wa vituo vya kuchajia vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme pamoja na Mpango wa Ukopeshaji wa Majiko ya Umeme kwa Wateja (On-Bill Financing –…

Read More

JE WATOTO WANAPATA NAFASI KUSIKILIZWA WANAYOPITIA?

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam“Tunapokutana na marafiki tunakumbushana kwenda kanisani pamoja, lakini wazazi wetu hawafahamiani sana. Nimefundishwa kuwa makini na watu nisio wajua na kuepuka maeneo hatarishi kama vichaka. Nikihisi mtu ananitia wasiwasi nitatoa taarifa kwa watu wazima au polisi,” hii ni sauti ya mtoto Nick Edward mwenye umri wa miaka tisa. Si ishara nzuri….

Read More