MAENEO YALIOATHIRIWA NA MVUA BARABARA YA DAR-LINDI-MTWARA YOTE NI SHWARI
Barabara ya Dar es salam-Lindi-Mtwara sasa imerejea katika hali ya kupitika baada ya kukamilika urejeshaji…
■ Waziri Mavunde ataka mnyororo wote wa utoroshaji wa madini hayo udhibitiwe, ■ Asikitishwa na upotevu wa mapato ya Serikali yatokanayo na vitendo hivyo, ■ Aelekeza wahusika wote wafutiwe leseni na kutoruhusiwa tena kufanya biashara ya madini, ■ Atoa rai kwa wananchi kufanya biashara ya madini kupitia mfumo rasmi Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam, Kufuatia…
📌Waziri Ndejembi ashuhudia utiaji saini, asema ni alama ya miradi ya kielelezo nchini. 📌Mradi utakuwa na uwezo wa kuzalisha megawati 100 📌Aeleza mradi kugharimu Shilingi bilioni 204.4 na kuchochea sekta za kilimo, viwanda na uchimbaji wa madini. 📌Aitaka TANESCO kusimamia kwa karibu utekelezaji wa mradi ili ukamilike kwa wakati Na Mwandishi Wetu,Kishapu Serikali kupitia Shirika…
📌 Wavutiwa namna TANESCO inavyotumia teknolojia na mitandao ya kijamii kutoa huduma nzuri kwa wananchi Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WATALAAM kutoka Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) wameisifu TANESCO kwa mafanikio makubwa ya matumizi ya teknolojia katika utoaji huduma kwa wateja, hatua iliyochangia kuongeza ufanisi na kuwahudumia wananchi kwa haraka zaidi. Wakizungumza wakati wa ziara…
Na Mwandishi Wetu,Rorya Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amesema kilimo cha bangi katika Mkoa wa Mara kimepungua kwa takribani asilimia 80 kutokana na operesheni endelevu zinazotekelezwa na Serikali katika kukabiliana na uzalishaji wa dawa za kulevya. Akizungumza jana, baada ya kuhitimisha operesheni maalumu zilizofanyika katika…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imesema jumla ya meli 112 zenye tani 3,874,055 za sulphur zimeingia nchini tangu mwaka 2021 ambapo sheria ya kuingiza kemikali hiyo ilipoanza kufanya kazi. Akizungumza jijink Dar es Salaam leo Julai.24, 2026 wakati wakufungua kikao cha waingizaji,wahifadhi na wasafirishaji wa kemikali aina sulphur…
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya (DCEA) imesema wilaya ya Temeke ina watu 2500 wanaotumia dawa tiba za methadone kutokana na matumizi ya heroin jambo linalosababisha wilaya hiyo kuongoza kwakuwa na waraibu wengi mkoan Dar es Salaam. Akizungumza katika tamasha la kupinga dawa za kulevya lililofanyika viwanja vya…
📌 Asema ucheleweshaji wa mradi hauendani na matarajio ya Serikali na wananchi. 📌 Amuagiza mkandarasi kuongeza kasi ya utekelezaji na kuzingatia masharti ya mkataba. 📌 Aelekeza hatua stahiki kuchukuliwa iwapo maendeleo ya mradi hayataboreshwa kabla ya Septemba 30, 2026. 📌 Mradi wa kV 220 utaiunganisha Mikoa ya Lindi na Mtwara kwenye Gridi ya Taifa na…
📌 Ukaguzi wa miundombinu wabaini hakuna changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara 📌 Wafanyabiashara waipongeza TANESCO kwa utatuzi wa haraka wa hitilafu Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limebaini kuwa huduma ya umeme katika Jengo la Kituo cha Mabasi cha Mwenge inaendelea kuwa ya uhakika baada ya kufanya…
Na Joseph Mahumi na Peter Haule, WF, Tanga Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ametoa wito kwa wananchi wenye mahitaji maalumu kuchangamkia fursa za kuomba zabuni za Serikali kupitia Mfumo wa Kielektroniki wa Ununuzi wa Umma (NeST), kwa kuwa Serikali imetenga asilimia 30 ya zabuni za umma kwa makundi maalum ili kuongeza…
Na Mwandishi Wetu,Dodoma Kufuatia utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa maabara ya kisasa ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), hatua hiyo inakwenda kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha utoaji wa huduma za maabara ya madini kusini mwa Jangwa la Sahara. Hayo yamesemwa leo tarehe 15 Julai, 2026 na Waziri wa Madini, Mh.Anthony…