Na Mwandishi Wetu,Kibakwe
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Fernando Wolle achukua Fomu na Kurejesha Katika Jimbo la Kibakwe Wilaya ya Mpwapwa Jijini Dodoma.
Wolle anatarajiwa kumkabili Ndugu. George Simbachawene ambaye anatetea nafasi yake.