USHIRIKI WA TAWA KATIKA MAONESHO YA 49 YA BIASHARA YA KIMATAIFA

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inashiriki katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa kwa mwaka 2025 yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere, vilivyopo barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.  Kupitia maonesho haya, TAWA inatumia fursa hii kutangaza bidhaa na huduma mbalimbali zinazohusiana na utalii…

Read More

CPA LUBUVA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KONDOA

Na Mwandishi Wetu,KondoaMJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Comrade CPA.Hassan Lubuva amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kondoa kupitia chama hicho. CPA Lubuva amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025 na kukabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Wazazi wa chama hicho willaya Juma Seif katika ofisi za…

Read More

TRA KUTOA HUDUMA YA TIN VIWANJA VYA SABASABA

Na Aziza Masoud,Dar es Salaam MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imewataka wananchi wanaohitaji  kuhudumiwa masuala mbalimbali yakikodi  ikiwemo namba ya utambulisho wa biashara (TIN) kufika katika viwanja vya Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba kuweza kupata huduma hiyo Akizungumza na waandishi wa habari leo Juni 30, 2025…

Read More