Aziza Masoud

BANDARI YA KIGOMA KUHUDUMIA TANI MILIONI MOJA ZA MIZIGO KWA MWAKA IKIKAMILIKA

Na Mwandishi Wetu,Kigoma Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Bandari ya Kigoma inayoendelea kuboreshwa itakuwa na uwezo wa kuhudumia tani milioni moja za mizigo kwa mwaka mara baada ya kukamilika, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara na usafirishaji wa mizigo kati ya Tanzania na nchi jirani, hususan Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Prof. Mbarawa amesema…

Read Full News

UJENZI GATI LA ABIRIA KIGOMA KUKAMILIKA SEPTEMBA 2027

Na Mwandishi Weru,Kigoma Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema ujenzi wa Gati jipya la kuhudumia abiria kwenye Bandari ya Kigoma unaendelea vizuri na unatarajiwa kukamilika mwezi Septemba 2027, huku mradi huo wa kimkakati ukigharimu shilingi bilioni 32.5. Prof. Mbarawa amesema hayo mkoani Kigoma baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa gati hiyo, ambapo alieleza…

Read Full News

SABASABA YAJA KIDIGITALI ZAIDI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam SERIKALI imesema imekamilisha maandalizi ya Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), kwa kuboresha miundombinu na kuanzisha mifumo ya kidijitali ya ununuzi wa tiketi na kuwaongoza wageni kufika katika mabanda mbalimbali, hatua inayolenga kuongeza ufanisi na kuondoa msongamano wa wananchi watakaotembelea maonesho hayo. Akizungumza leo…

Read Full News

MD TWANGE ATOA RAI KWA MAMENEJA TANESCO KUONGEZA KASI YA KUPAMBANA NA WIZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME

Na Mwandishi Wetu,Dodoma MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Lazaro Twange, ametoa rai kwa mameneja wa TANESCO nchini kusimamia na kupambana kwa nguvu zote na changamoto ya wizi wa miundombinu ya umeme, ambayo imekuwa ikijitokeza katika maeneo mbalimbali ya mikoa wanayoisimamia. Bw. Twange ameyasema hayo Juni 24, 2026, mkoani Dodoma wakati akifungua Mkutano…

Read Full News

MD TWANGE ATOA RAI KWA MAMENEJA TANESCO KUONGEZA KASI YA KUPAMBANA NA WIZI WA MIUNDOMBINU YA UMEME

📌Afungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Mameneja na Wakurugenzi wa Kanda, Dodoma 📌Asisitiza umuhimu wa kuongeza ubunifu katika ukusanyaji wa mapato 📌Awapongeza kwa kazi nzuri na kuendelea kuimarisha mahusiano na wadau Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Bw. Lazaro Twange, ametoa rai kwa mameneja wa TANESCO nchini kusimamia na kupambana kwa nguvu zote…

Read Full News

NDEJEMBI ATAKA KASI YA UTENDAJI KAZI WA WIZARA YA NISHATI NA TAASISI KUONGEZEKA

📌Lengo ni kukidhi matarajio ya wananchi katika Sekta ya Nishati Na Mwandishi Wetu,Dodoma Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewataka watendaji na watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kuongeza kasi ya utekelezaji wa majukumu yao katika mwaka mpya wa fedha 2026/2027 ili kuweza kukidhi matarajio makubwa ya wananchi katika sekta ya nishati. Mhe….

Read Full News