DK.NCHEMBA:BWAWA LA MAJI KIDUNDA SULUHU YA KUDUMU MTO RUVU
Na Mwandishi Wetu,Morogoro Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) ameridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Bwawa la kuhifadhi maji la Kidunda na kubainisha kuwa kukamilika kwa mradi huo wa bilioni 336 kutachochea ukuaji wa maendeleo ya jamii kwa wakazi wa Mikoa ya Dar es Salaam…

