WIZARA YA KATIBA NA SHERIA YAWASHAURI WATANZANIA KUANDIKA WOSIA

Na Asha Mwakyonde, DODOMA MKURUGENZI Msaidizi wa Huduma za Sheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Abdulrahman Msham amewashauri watanzania kuwa na utaratibu wa kuandika wosia ili kuepusha migogoro ya mirathi katika baadhi ya familia. Msham aliyasema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya wakulima maarufu Nane nane ambayo yanafanyika kitaifa…

Read More

WAZALISHAJI MAUDHUI WAHAMASISHWA KUCHOCHEA USHIRIKI WA WANANCHI UCHAGUZI MKUU

 Na Mwandishi wetu,Dar es Salaam MWENYEKITI wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,  Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jacobs Mwambegele, amewahimiza wazalishaji wa maudhui mtandaoni kutumia majukwaa yao ya kidijitali kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza leo Agosti, 03 2025, jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi…

Read More

SERIKALI YAWATAKA WAKUU WA TAASISI ZA UMMA KUTENGENEZA RAFIKI YA KAZI

Na Mwandishi Wetu, Pwani SERIKALI imewataka wakuu wa taasisi za umma kutengeneza mazingira rafiki ya kazi yatakayowawezesha watumishi kuongeza tija na ubunifu katika utekelezaji wa majukumu yao. Kauli hiyo ilitolewa na Mhe. Ridhiwani Kikwete, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, alipokuwa akifunga mafunzo elekezi ya siku nne kwa…

Read More