TANAPA yang”ara tuzo za umahiri – Mawasiliano

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kupitia Idara ya Mawasiliano imeshinda tuzo ya Umahiri katika Mawasiliano ya umma iliyobeba dhima ya “The Best use of Influencers Category for the year 2023” , hafla iliyofanyika usiku wa tarehe 05.04.2024 katika Ukumbi wa St. Peter’s jijini Dar es Salaam, tuzo ambazo zimetolewa na taasisi ya Public…

Read More

MDAU WA MAENDELEO NDUGU JOSEPH MUSHI AIKOSHA CCM

Na Ashrack Miraji (Same) Kilimanjaro Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafii amesema amefurahishwa na kitendo cha Joseph Mushi kuamua kumuunga mkono Rais wa Tanzania kwa kujenga zahahati Kibosho itakayokuwa msaada kwa wananchi hao. Hayo ameyasema Jana Machi 25,2024 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro,Patrick Boisafi Wakati akikata utepe…

Read More

MZUMBE KUWAANDA VIJANA KUJIAJIRI

Serikali imesema itaendelea kuhakikisha inawezesha mazingira bora na rafiki kwa vijana wabunifu kwa kutoa mikopo, ajira na kuwapa fursa mbalimbali kwa kutumia taaluma vyema katika kung’amua fursa katika jamii. Hayo yamezungumzwa katika Siku ya Mzumbe na Kambi ya Ujasiriamali, na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mhe. Judith Nguli, kwa hadhira iliyohudhuria tukio hilo Chuo Kikuu…

Read More

AWESO ATOA UHAKIKA WA HUDUMA DAR NA PWANI

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha inafanya maboresho kwenye mitambo ya uzalishaji maji ya Ruvu Chini na Ruvu Juu hususani pampu za kusukuma maji ili kuwezesha huduma ya maji iweze kupatikana kwa ufasaha na kwa wananchi wote. Mhe. Waziri ametoa maagizo…

Read More

Maandalizi muongozo mpya wa elimu yapamba moto

*Shule 96 za sekondari zasajiliwa kutoa mafunzo ya amali Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imesema hakuna mwanafunzi atakayeshindwa kujiunga na sekondari kwa sababu ya ufinyu wa miundombinu ifikapo mwaka 2028 kwakuwa imeshafanya maandalizi ya kupokea wanafunzi wa mikondo miwili ambao watamalizia elimu ya msingi mwaka 2027. Wanafunzi hao ambao ni…

Read More

DC Same aritjishwa na hatua za haraka zilizochukuliwa na TANROAD kukarabati daraja la Kihulio

Na Ashrack Miraji, Same kilimanjaro Hatimae mawasiliano ya barabara baina ya wakazi wa Kisiwani-Maore, Ndugu,Kihurio na Bendera wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro yamerejea baada ya wakala wa Barabara nchini kufanikisha matengenezo ya Daraja Kihurio lililokuwa limeharibiwa vibaya na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo. Mkuu wa wiaya ya Same Kasilda Mgeni akiwa na kamati ya ulinzi…

Read More