MRADI WA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME CHALINZE–DODOMA KUKAMILIKA AGOSTI 2026 : MD TWANGE
📌Utekelezaji wa Mradi wafikia asilimia 82.5 📌Shilingi bilioni 514 kutumika ajili utekelezaji wa mradi 📌 Amtaka Mkandarasi kuongeza kasi mradi huo wa kimkakati ukamilike kwa wakati Na Mwandishi Wetu,Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Bw. Lazaro Twange, amesema mradi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Zuzu, Dodoma, unatarajiwa kukamilika…

