REA YAANDIKA HISTORIA MPYA KOROGWE

Na Mwandishi WetuKorogwe – Tanga Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Kamishna Mstaafu wa Uhifadhi, Mhe. William Mwakilema, amesema Serikali itaendelea kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora ya nishati ya umeme ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tanga katika hafla ya kukabidhi mradi wa umeme wa Gridi ya Taifa katika Kata…

Read Full News

RAIS DK.SAMIA ATOA BILIONI 20,WATENGENEZA MAUDHUI WANUFAIKA NA BILIONI 2

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Christian Makonda amesema Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kwa kushirikiana na Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania, zitahakikisha zinawawezesha vijana wanaojiajiri katika sekta ya habari kwa kuwapa mitaji ya kukuza, kuendeleza na kuzalisha kazi zao katika ubora…

Read Full News

UJENZI KITUO CHA KUSUKUMA MAJI GOLANI WAFIKIA ASILIMIA 80, WAONGEZA KICHEKO GOLANI, SARANGA NA UKOMBOZI

Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam WAKAZI wa Mtaa wa Golani, Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo wafurahishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kituo cha kusukuma maji (booster pump) katika eneo hilo uliofika asilimia 80 za ukamilishwaji wake na unaotajwa kwenda kihudumia wakazi takriban 5,000 wa eneo la Golani, Ukombozi pamoja na…

Read Full News

SERIKALI YAONGEZA UWEKEZAJI TAFITI ZA MADINI,YAWAIMARISHA WACHIMBAJI WADOGO

Na Asha Mwakyonde, DODOMA SERIKALI imeendelea kuongeza uwekezaji katika tafiti za kina za madini kwa lengo la kubaini rasilimali mpya na kuongeza mchango wa sekta ya madini katika uchumi wa taifa, sambamba na kuwawezesha wachimbaji wadogo kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji. Hayo ameyasema leo Aprili 27,2026 bungeni ,jijini hapa na Waziri wa Madini, Anthony…

Read Full News

WAKAGUZI WAKUU WA MIGODI WATAKIWA KUWA MABALOZI WA BIASHARA HALALI YA MADINI

NA MWANDISHI WERU,KAHAMA SERIKALI imewataka Wakaguzi Wakuu wa Migodi pamoja na Mameneja wa Migodi nchini kuwa mabalozi wa utekelezaji wa sheria, kanuni za madini na kuwa wazalendo katika biashara ya madini ili kuongeza mchango wa sekta hiyo kwenye uchumi wa taifa. Wito huo umetolewa leo Aprili 24, 2026 wilayani Kahama, mkoani Shinyanga na Mtaalam kutoka…

Read Full News